Goli | Simba SC vs JKT Tanzania 0-1 | U20 Premier League 14/06/2021
Tazama shuti la Samson Lucas lilivyomshinda golikipa wa JKT Tanzania U20 na kuivusha Simba SC U20, kwenye hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Vijana chini ya miaka 20, kwenye kipute kilichopigwa usiku wa Juni 14. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: ►INSTAGRAM: ►TWITTER:
Continue Reading